Habari

Mchakato wa kuondoa chumvi kwenye maji hufanyaje kazi?

BBC-Cheza

Odhiambo huuza maji safi akiwa amebeba kwenye baiskeli yake Likoni, Mombasa, Kenya.
Upatikanaji wa maji safi ya kunywa ni mgumu katika eneo hilo, lakini sasa mchakato makini wa kuondoa chumvi unatumika kutoa suluhisho za maji safi kwa bei nafuu zaidi.
Facebook Watch

Ruka hadi juu